Profesa wa Uchumi katika Kilimo wa Chuo
Kikuu cha Sokoine (Sua), Damian Gabagambi alisema kauli kama hizo
zinatokana na mabadiliko yanayoonekana kwenye siasa za Tanzania
yanayosababishwa na kutimia kwa unabii wa Mwalimu Julius Nyerere kuwa
‘mpinzani wa kweli atatoka ndani ya CCM.’
Source: MCL
No comments:
Post a Comment