HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA, IRENE UWOYA APETA VITI MAALUM
Mwigizaji Iren Uwoya amefanikiwa kushinda kwa kishindo na ‘kuukwaa’ Ubunge
viti maalum Kupitia vijana, katika hatua zote mbili.
Iren alishindwa kuficha furaha yake mbele ya kamera ya Timesfm.co.tz, kwa
kueleza kuwa dalili zilionekana tangu Tabora baada ya kupigiwa kura kwa wingi.
“Kuna mtu tulifungana lakini asante mungu nmefanikiwa kupita kamati kuu, so
yah nmefanikiwa” alisema Iren.
Katika ‘line’ nyingine, wasanii kadhaa wamejitokeza kumpongeza Uwoya wakidai
ni hatua kubwa kwa sanaa yao.
No comments:
Post a Comment