SHAMBA LA BIBI

SHAMBA LA BIBI

Tuesday, 18 August 2015

SIKUWAHI KUSEMA 'NATAKA KUONDOKA' - SERGIO RAMOS


Beki wa Real Madrid Sergio Ramos amesema hakuwahi kutaka kuondoka Bernabeu, licha ya taarifa kadhaa kumhusisha na kuhamia Manchester United. Ramos, ambaye amesaini mkataba wa miaka mitano amesema: "Wazo langu lilikuwa kubakia hapa na kustaafu hapa kama rais angeruhusu hilo, na na ninashukuru sasa nina changamoto mpya ya kuwa nahodha wa timu hii.



"Sikuwahi kusema nataka kuondoka, nilikuwa kimya. Sikusema chochote kutokana na kuheshimu wachezaji wenzangu na rais, sikuwahi kupiga simu kwenye ofisi yetu na kutaka fedha zaidi."


Ramos katika pozi mbalimbali ...








No comments:

Post a Comment