EDWARD NGOYAI LOWASSA ATOA KAULI HII MUDA HUU. AZIDI KUWAPA WAKATI MGUMU WAPINZANI WAKE... ISIKIE HAPA
"Uongozi
usioyafahamu matatizo ya Watanzania kiundani hauna uhalali wa kuelezea
suluhisho la matatizo hayo.
Tumechoshwa na aina ya uongozi wa kuletewa
ripoti maofisini, na Leo tumeendeleza ziara ya kuwatembelea wananchi na
kusikia kero zao Za msingi.
Tukutane Jangwani Jumamosi hii ya tarehe
28.8.2015 tuweze kuwaeleza namna tulivyojipanga kufanya ukombozi wa
kiuchumi. Tuko Tayari kwa mabadiliko"
No comments:
Post a Comment