SHAMBA LA BIBI

SHAMBA LA BIBI

Thursday, 20 August 2015

PEDRO ATUA RASMI CHELSEA

 

Chelsea wamethibitisha kukamilisha uhamisho wa Pedro kutoka Barcelona.

 

 

Akizungumza na tovuti ya Chelsea, Pedro amesema: "nimefurahi sana kufika hapa. Nina hamu kubwa sana ya kuanza kuichezea Chelsea na niko hapa kuendelea kushinda makombe."

 

 

No comments:

Post a Comment