CCM IMEIPUA ILANI YAKE YA UCHAGUZI KWA MWAKA 2015 - 2010
Chama cha CCM kimeipua ilani yake ya uchaguzi kwa mwaka 2015- 2020,
ikitaja mambo makuu manne ya kushughulikia kwa miaka mitano ijayo ambayo
ni kupambana na umaskini, ajira kwa vijana, ulinzi na usalama na
kupambana na rushwa kwa kuanzisha mahakama maalum ya makosa hayo. Source
MCL
Unaizungumziaje ilani hii ya CCM na vipaumbele vya mambo iliyopanga kushughulikia?
No comments:
Post a Comment