SHAMBA LA BIBI

SHAMBA LA BIBI

Friday, 21 August 2015

HAYAWI HAYAWI HATIMAYE YAMEKUWA..., KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU TANZANIA KUANZA RASMI KESHO (22/08/2015)


Hadi sasa wagombea urais kupitia vyama vya CHADEMA, CCM, TLP, ADC, CHAUMA, UPDP wamerejesha fomu zao katika ofisi za Tume ya uchaguzi na wamekidhi viwango vyote vilivyotakiwa na Tume ya uchaguzi na vimeruhusiwa kuanza rasmi kampeni kuanzia siku ya kesho.

Chama cha ACT Wazalendo nao tayari wamefika ofisi za NEC na kinasubiri muda wa kuingia ndani na kuangaliwa kama kimetimiza viwango vinavyotakiwa na Tume ya uchaguzi.

No comments:

Post a Comment