SHAMBA LA BIBI

SHAMBA LA BIBI

Thursday, 13 August 2015

Entertainment XXL ya Clouds Fm yawapatanisha Q Chillah na Tid kuhusu ‘Bifu’ yao.

Inawezekana hukua unaamini kuwa kuna siku  jamaa hawa wawili ambao walikua wakiwakilisha ‘Top BandQ Chief na Tid wasingeweza kukaa pamoja na kumaliza tofauti zao na hii imetokana na kuignia kwenye headlines sehemu mbalimbali kuwa hawako sawa,taarifa ikufikie kuwa Tid na Q Chief kwa sasa wako fresh na wanarudi pamoja kimuziki tena.
Kwenye interview ya kukumbuka album zilizopita kwenye XXL ya Clouds Fm Aug 13 waliwaita Q Chief na Tid,yamezungumzwa mengi sana kwenye interview hii ikiwemo album nyingine itakayotoka kati ya Q Chief na Tid

#Source: millardayo.com/xxlaug13

No comments:

Post a Comment