SHAMBA LA BIBI

SHAMBA LA BIBI

Tuesday, 18 August 2015

HATIMAYE DAVID DE GEA AKUBALI KUFANYA TENA MAZOEZI NA TIMU YAKE YA MANCHESTER UNITED


David De Gea trains with Manchester United squad ahead of Champions League play-off

Hii ni habari njema kiasi kwa mashabiki wa Manchester united

Hatimaye Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameamua kufanya mazoezi ya kujiandaaa na mechi yao ya klabu bingwa barani Ulaya dhidi ya klubu ya Brugge ya Ubelgiji leo usiku.
Vijana hao wa Louis Van Gaal watapambana na Wabelgiji hao leo usiku katika uwanja wa Old Trafford wakiwa na hali ya ushindi.

Bado kumekuwa na hali ya sintofahamu juu ya hatma maisha ya golikipa David De Gea katika klub hiyo kongwe jijini Manchester kukihusishwa kwake na kukosa mchezo wao uliopita waliokiputa dhidi ya Aston Villa ya kwamba anaondoka kwenda kwa miamba ya Ispania, Real Madrid.
Golikkipa namba mbili wa timu hiyo, Sergio Romero na mwenzake Sam Johnstone wanatazamiwa kushikia nafasi ya kipa huyo mpaka pale sintofahamu hiyo itakapopata majibu. 



No comments:

Post a Comment