SHAMBA LA BIBI

SHAMBA LA BIBI

Wednesday, 19 August 2015

KUACHILIWA KWA PISTORIUS KUMEPINGWA

Mwanariadha Oscar pistorius

Waziri wa sheria nchini Afrika Kusini amepinga uamuzi wa kuachiliwa kwa mwanariadha Oscar Pistorius.

Michael Masutha amasema kuwa uamuzi wa kumuachilia mwanariadha huyo umechukuliwa mapema.
Pistorius amekaa gerezani kwa muda wa miezi kumi baada ya kumuua kwa kumpiga risasi mpenziwe Reeva Steenkamp na alitarajiwa kuachiliwa ili atumikie kifungo chake cha nyumami siku ya Ijumaa.

Oscar Pistorius na Reeva Steenkamp


 

No comments:

Post a Comment