SHAMBA LA BIBI

SHAMBA LA BIBI

Thursday, 13 August 2015

TOP 3 YA UEFA BEST PLAYERS HII HAPA, NI LUIS SUAREZ, CRISTIANO RONALDO NA LIONEL MESS

Cristiano Ronaldo, Lionel Messi, Luis Suarez Up for UEFA's Best Player in Europe

Barcelona's Lionel Messi and Luis Suares and Real Madrid's Cristiano Ronaldo have been nominated for the 2014-15 UEFA Best Player in Europe Award, with the winner of the award to be announced on Thursday, August 27, per UEFA.com  

Mshambuliaji kutoka Uruguay, anayeichezea Barcelona, Luis Suarez, ametajwa katika orodha ya wachezaji watatu wanaowania tuzo ya UEFA ya mchezaji bora wa Ulaya. Suarez anaungana na mshambuliaji mwenzake wa Barcelona Lionel Messi na vilevile katika orodha hiyo yuko hasimu wake Messi, Cristiano Ronaldo. Messi na Ronaldo walifunga mabao 77. UEFA wamesema wachezaji hawa watatu walipata kura nyingi zilizopigwa na waandishi wa habari kutoka katika orodha ya wachezaji kumi. Waandishi hao wa habari wapatao 54 ndio watamchagua mshindi wa tuzo hii ya mwaka 2014-15, tarehe 27 Agosti mjini Monaco. Siku hiyo pia ni ya droo ya Klabu Bingwa Ulaya.

Na tuonane hiyo tarehe 27 August, 2015 tujue nani mkali wao.


Si vibaya kupata mtazamo wako, kura yako unaitupa kwa nani mdau ...!?
  • Suarez
  • Ronaldo
  • Messi

No comments:

Post a Comment