Philippe Coutinho Axed for Kaka in Brazil Squad for Costa Rica, USA Friendlies
Kiungo wa Liverpool Coutinho ameondolewa kwenye kikosi
cha Brazil kitakachoivaa Costa Rica mwezi ujao tarehe 05 Sept, 2015 na baadae
Marekani 08 Sept, 2015. Veterani Kaka ameitwa kuchukua nafasi yake. Kaka anaitumikia tena Brazil akiwa ana
umri wa miaka 33.
Tazama kikosi cha brazil hiki hapa chini...
Waswahili usema 'kijiji bila ya wazee sio kijiji' , wachezaji wetu wa kibongo ambao umri umesogea kidogo (veterani) tusikate tamaa, tujitunze na tuendelee kupiga tizi la ukweli, huwezi kujua kocha mkuu Charles Mkwasa anaweza kukuona na kukuita mzigoni ukapige jaramba.
No comments:
Post a Comment