UKAWA WAKATALIWA KUFANYA KAMPENI VIWANJA VYA JANGWANI JUMAMOSI. SOMA HAPA ...
Kwa ufupi
Akizungumza na wanahabari jijini
Dar es Salaam leo, mwenyekiti mwenza wa umoja huo, James Mbatia amesema
uzinduzi wa kampeni uko palepale kama ulivyopangwa licha ya manispaa
kuwakatalia siku hiyo.

Chanzo: MCL
Nini maoni yako mdau...!?
No comments:
Post a Comment