NI JUMAPILI HII, TAREHE 16 AUGUST, 2015 NDANI YA DAR LIVE TUTAKUWA NA WABUNGE WATARAJIWA
Jumapili
Aug 16, pale Dar Live kutakuwa na Tamasha la wazi (Lisilo na Kiingilio)
kuhusu Democracy na hawa ndio baadhi ya Wasanii watakao shambulia
Jukwaa siku hiyo. @Kala Jeremiah @Prof Jay @Sir_Nature.
Unakaribishwa, muda ni kuanzia saa 5:00 Asubuhi! Mtonye na mwenzio huu mchongo pia unamuhusu.
No comments:
Post a Comment