MORINHO AMKEJELI WENGER
 |
Mourinho |
Mkufunzi wa kilabu ya Chelsea Jose
Mourinho amemkosoa tena mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger akimtaja kuwa
mfalme anayeongoza bila presha.
Wenger alidhani kwamba uchokozi wa
Diego Costa ndio uliosababisha Gabriel Paulista kupewa kadi nyekundu
katika mechi kati ya timu hizo mbili iliochezwa wikiendi iliopita.
 |
Mourinho na Wenger |
Mourinho bila kumtaja mtu yeyote alisema:''Anaweza kuzungumza kuhusu
marefa,kuwasukuma watu,unaweza kulia kuanzia asaubuhi hadi jioni lakini
hakuna chochote kitakachofanyika.Hawezi kutoa matokeo mazuri lakini bado
anaendelea kuwa mfalme''.
Wawili hao wamekuwa na uadui mkubwa huku Mourinho akimwita Wenger kuwa maalum bila mafanikio.
No comments:
Post a Comment