![]() |
Zaidi ya watu milioni tano wamejiandikisha kupiga kura . |
Watu wa eneo la Catalonia nchini Uhispania wameanza kupiga kura katika uchaguzi uunaotazamwa kuwa mtihani mkubwa wa kuunga mkono Uhuru wa eneo hilo tajiri.
Pia mbali na utajili wa eneo hilo pia kuna vipaji vingi vya timu ya mpira wa miguu vinavyochezea timu ya Taifa hilo lakini pia klabu ya Barcelona ambayo na yenyewe ipo eneo hilo.
Wanachama wa vyama vya Catalan, wanaotaka kujitenga na ambao wanaongoza katika kura ya maoni wanasema kuwa ushindi utavipa vyama vyao uwezo wa kutangaza kwa kauli moja uhuru wao.
![]() |
Je Catalonia itajitenga na Uhispania ? |
Serikali ya Uhispania ambayo inakataa kata kata kukubalia shughuli hizo za upigaji wa kura ya maoni kuhusiana na swala hilo imetaja kura hiyo ya maoni kama upuzi mtupu.
![]() |
Kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola akipiga kura |
No comments:
Post a Comment